iqna

IQNA

jeshi la marekani
TEHRAN (IQNA) – Aplikesheni maarufu ya Kiislamu inayojulikana kama Muslim Pro imekanusha taarifa kuwa inashirikiana na Jeshi la Marekani katika kutoa taarifa za siri za Waislamu wanaoitumia katika simu zao za mkononi.
Habari ID: 3473372    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/18